Mh kwanini usimuulize yeye mwenyewe private?? kwa jinsi ninavyomfahamu sidhani kama ni shoga..... mh lakini nisimjibie maana jambo usilolijua ni kama ucku wa giza
Dunia iko na mambo watu mko makinikufatilia watu. Ila pozi ktk picha ni la kichokozi kama hayuko kwenye kundi ya watu hawa wanao ongelewa inabidi uwe makini .