Yono yawapa siku 14 Babu Tale na ndugu zake kuweka wazi mali za Tiptop

Yono yawapa siku 14 Babu Tale na ndugu zake kuweka wazi mali za Tiptop

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Yono yawapa siku 14 Babu Tale na Nduguye kuweka wazi mali za TipTop lasivyo watafungwa. Ni baada ya kutomlipa Sheikh Mbonde fadia Tsh 250m.
 
Habari! Safi sana. Dawa ya deni ni kulipa
 
pesa ya mboga kwa sauti ya nshomile
 
Dhuluma si nzuri, ona sasa babu TALENT yamemkuta , bado Gaidi Sela sasa
 
Huyu wamfunge ili wakina Fella wajifunze kuwa dhuluma sio mchezo mzuri
 
halafu watu bana sijui hata wakoje...yaani deni linawahusu tiptop/tale au babutale in connection with tiptop...lakini mijitu humu inahusisha hili suala na WCB/daimond tena...ingekuwa hilo deni (kama kweli lipo) linahusiana na wcb at least diamond asingeweza kukwepa kutupiwa mawe au at least lingekuwa linamuhusu babutale in connection na diamond...hapo pia kusingekuwa na tatizo kumlaumu diamond kwa kushindwa kumsaidia tale kulipa hilo deni.

Wakati mwengine nyie magreat thinker wa humu mnakera sana aise..
 
Watu wanavyosema Diamond amlipie utadhani ni Sh 250000 vile
 
Wampige nondo tu huyo babu kijana mzee wafursa
 
diamond si analipwa m 20 kila siku kenya? siku 25 tu si amsaidie meneja wake ?

Hesabu ya wapi hii?? Kama analipwa 20m per day na jamaa anadaiwa 250m, maana yake ni siku 13 tu wanalipa deni lote na sio siku 25!! Siku 25 labda kama analipwa 10m per day ndo inakuja 250!!
 
Amlipe tu mzee wa watu, hakuna namna kadhurumu kastukiwa alipe,, then apange tena dili jingine.
 
Back
Top Bottom