Yono yawapa siku 14 Babu Tale na ndugu zake kuweka wazi mali za Tiptop

Ma Papa/Matapeli wa kwenye soccer letu la bongo kwa sasa wananyea debe, nina Imani kuna siku hata hawa Ma papa wa kwenye music wetu watakuja juta.... Maana Fella na Huyu Babu Tale tale ni unyonyaji na dhuluma tu kwa wasanii wetu.. Fella kawatumia kina Yamoto Band and kawaacha njia panda kama yatima vile
 
Tip Top hela yote wamemlipia mahali Dogo Janja kwa Uwoya ndo maana wanashindwa kulipa madeni
 
hivi hela zinaokotwa mpaka ulipie watu madeni yao.. wewe ukiwa na kampuni yako.. utaruhusu wafanyakazi wako wakope ovyo ovyo halafu madeni uyalipe wewe...

staff wa voda akakope na asilipe.. voda imlipie madeni kweli??

kila mtu apambane na hali yake... wakati wa kuzitumia hukunishirikisha ila wa kulipa nikulipie

diamond si analipwa m 20 kila siku kenya? siku 25 tu si amsaidie meneja wake ? yale mabilioni ya voda ya diamond kila show m 200 ? why asilipe?
 
Daaah mond ana mipesa balaaa

Mbona analia hadi makamasi mahakamani kujitetea milioni 5 ya kumlea mwanae kwa mwezi? Hahaha mtoto wa Tandale ukaige maisha ya kina Jayz lazima utoke manundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…