Yote haya kisa dini tofauti

Yote haya kisa dini tofauti

Chebyshev

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
31
Reaction score
23
Habar zenu wana JF
mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa dini zetu ni tofauti hata kama ananipenda. Mimi nampenda sana huyu msichana na vile vile ctaki niingilie kwenye masuala ya imani yake. Naombeni ushaur jaman...
nawasilisha
 
Earlier is better, wewe bado kijana mdogo sana usikubali kuharibu maisha yako wakati mungu anakupenda na amekuonesha hilo mapema. walk away, usiposikia maneno utakuja kunikumbuka.

Usinipe visingizio eti unampenda sana si kweli, umri wako si wakusema eti umewahi kumpenda mwanamke, unajidanganya mwenyewe nafsi yako.
 
Umemtamani hahah achana nae kama dini tatizo.
Pili tafuta wa dini yako
 
Kwani wasichana wazuri wenye imani kama ya kwako wamekwisha hapa duniani!
 
Ameshakwambia hawezi kuwa na wewe kwa sababu imani zenu ni tofauti,sasa unauliza nini tena?
 
Umri huo ndio wanaita foolish age,kwhyo vumilia tu utakutana na mengi ya kifoolish foolish.
 
Mambo ya dini huwa yanasumbua sana kwenye mahusiano. Naungana na hao waliosema ni bora utafute wa imani sawa na wewe ili ujenge kukubalika kwenu na kwao ili kukwepa migogoro isiyo ya lazima.
 
Habar zenu wana JF
mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa dini zetu ni tofauti hata kama ananipenda. Mimi nampenda sana huyu msichana na vile vile ctaki niingilie kwenye masuala ya imani yake. Naombeni ushaur jaman...
nawasilisha

Badili dini yako umfate yake, si wewe ndio uliopenda? chagua, dini au mbunye.
 
Yaani atoke kwenye dini ya haki amfuate Mwanamke kwenye ile dini ya dhulma!?

Chaguo ni lake. Si wewe wala si mimi tunaeweza mfanyia maamuzi hayo. Dini au mbunye.
 
Wewe feyshizzo umeanzisha thread halafu wewe mwenyewe uko online lakini umeuchuna tu, huoni kama kuna mahojiano unatakiwa ujibu baadhi ya hoja?

Ila 22 years old why ur not in the school?
 
Last edited by a moderator:
Wewe feyshizzo umeanzisha thread halafu wewe mwenyewe uko online lakini umeuchuna tu, huoni kama kuna mahojiano unatakiwa ujibu baadhi ya hoja?

Ila 22 years old why ur not in the school?

ckuwa online ndgu... Ila ahsnte kwa ushaur wako
shule nshamalza natarajia kujiunga na chuo hv karbuni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom