Yote kwa yote Don Rostam Aziz anajua kuitafuta pesa maana kila penye neema yumo

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Yote kwa yote The Don Rostam Aziz anajua kuitafuta pesa, kila penye neema yumo, rai yangu azalishe ajira nyingi kwa vijana wa Tanzania

Pamoja na yote yanayoendelea mitandaoni mwisho Don Rostam Aziz anabaki kuwa mjanja wa kutafuta Pesa

Kwasababu kila penye neema yupo hii inaonesha dhahiri kuwa ni kiasi gani hapotezi wakati kwenye maswala ya fursa

Rai yangu kama Mwananchi ni kumwomba aendelee kuzalisha utitiri wa ajira kwa vijana wa Tanzania ili nao wapate chochote kitu

Vijana wa Tanzania mnapokutana nae muombeni chochote kitu
 
aache kuzalisha ajira kule kwao irani aje azalishe bongo, nyie kuleni jeuri yenu tu mpigweeeeeee mpaka mshangae.
 
Reactions: K11
Au siyo bwana Gudume
 
Hana tofauti na joka la makengeza.
 
rostam ni mwizi na anapewa channel zote za kuiba na hao hao walioko serikalini, unampa dili anakushikisha chako mapema tu, hana mambo ya baadae. Na kama mnavyojua waswahili kwa tamaa, atatoa hata mama yake kwa Cash. Rostam alimuogopa magufuli peke yake wengine wote amesha walisha hela nyingi tu
 
wewe utakuwa angela
 
Wajinga wapo wengi sana.
 
aache kuzalisha ajira kule kwao irani aje azalishe bongo, nyie kuleni jeuri yenu tu mpigweeeeeee mpaka mshangae.
Kama hazalishi Ajira Tanzania nitakuja kumchukia sasa mm nikajua anawamwagia fuko la hela
 
Rostam ni mtu fulani hivi namuheshimu sana anajua mifumo ya dunia inahitaji nini na anaishi nayo vile inavyo hitaji.
 
Rostam ni mtu fulani hivi namuheshimu sana anajua mifumo ya dunia inahitaji nini na anaishi nayo vile inavyo hitaji.
The Don kila kwenye neema yupo asee kuna watu wapo serious na hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…