o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Si ni life..
Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga,
Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama walinzi.
Wengine wapo kwenye hotline bring talking with their babies.
Wengine wanamsikiliza diva the boss lady.. Wengine wametune chombeza time kusikiliza nyimbo laini kurahisisha kupata hako kausingizi.
Wengine wa nasubiria tamthilia ziishe shemeji na dada waende kulala ili yeye alale sebuleni.
Mambo ni mengi.