ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Aug 6, 2021 #1 Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia ilikuwa Ni scam.msaada tutani
Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia ilikuwa Ni scam.msaada tutani
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,169 Reaction score 3,297 Aug 6, 2021 #2 Vitu zimepanda balaa