Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliyekuwa diwani wa kata ya Mlale wilaya ya Ileje Mkoani Songwe kuanzia mwaka 2020_2025 Yothamu Ndile amechukua fomu ya kutetea nafasi hiyo ya udiwani kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Ndile amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa chama cha Mapinduzi kata ya Mlale Kasiwelo Mwasenga katika ofisi za chama hizo kata ya Mlale.