NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HIINaombeni tafsiri ya kiswahili nisipitwe.
Tukiridhika kutokuwa na Furaha, ndio Furaha yenyewe.NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HII
FURAHA KAENDA WAPI?
Waliopiga kura hawana furaha
Waliosusa/suswa hawana furaha
Waliopita bila kupingwa hawana furaha
Waliosimamia kura hawana furaha
Walioshinda hawana furaha
Walioshindwa hawana furaha
Waliopanga yaliyotokea hawana furaha
Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha
Walioshauri hekima hawana furaha
Waliokaa kimya hawana furaha
Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaodhani wana furaha hawana furaha
Wapinzani hawana furaha
Wapinzani wa wapinzani, hawana furaha.
ILA wanaodhani hawana furaha, ni KWELI hawana furaha.
Ni bora kujiuliza huyu furaha yuko wapi?
Kausha ww ndio umeyataka kwa kutengeneza classes ingekuwa bora ungeandika kwa kiswahili yasingetokea yote haya [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]standing up low [emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
sheria kipofuWhat is the difference between an Ordinary Thief (OT) and a Political Thief (PT)?
1. The Ordinary Thief steals your money, bag, watch, gold chain etc. But, The Political Thief steals your future, career, education, health and business!
2. The hilarious part is: The Ordinary Thief will choose whom to rob. But, you yourself choose the Political Thief to rob you.
3. The most ironic one: Police will chase and nab the Ordinary Thief. But, Police will look after and protect the Political Thief, That’s the travesty and irony of our current society. And, we blindly say we are not blind!
Too good not to share.
Mkuu hapa ndo umetafsiri...??!!NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HII
FURAHA KAENDA WAPI?
Waliopiga kura hawana furaha
Waliosusa/suswa hawana furaha
Waliopita bila kupingwa hawana furaha
Waliosimamia kura hawana furaha
Walioshinda hawana furaha
Walioshindwa hawana furaha
Waliopanga yaliyotokea hawana furaha
Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha
Walioshauri hekima hawana furaha
Waliokaa kimya hawana furaha
Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaodhani wana furaha hawana furaha
Wapinzani hawana furaha
Wapinzani wa wapinzani, hawana furaha.
ILA wanaodhani hawana furaha, ni KWELI hawana furaha.
Ni bora kujiuliza huyu furaha yuko wapi?
Tukiridhika kutokuwa na Furaha, ndio Furaha yenyewe.