Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni SweedenNdio maana kuna nchi vimeenda mbali zaid had wameamua kutoa usafiri wa umma kuwa bure ili kumshawishi watu kupunguza matumiz ya gari zao pasipokuwa na ulazima
Si kweli, Sweden public transport unalipia, either unatumia bus card yako ambayo umeilipia kabisa na hela ikiisha lazima uweke tena au utalipa kwa card yako ya bank!Mfano ni Sweeden
Ndio nlichanganya.usafiri wa Bure upo Luxemburg.Si kweli, Sweden public transport unalipia, either unatumia bus card yako ambayo umeilipia kabisa na hela ikiisha lazima uweke tena au utalipa kwa card yako ya bank!
Watumie bodaTuanze kampeni ya acha gari nyumbani, tumia baiskeli.
Changamoto Ni kwa wale wanaotoka Kibaha wanafanya kazi Oysterbay
Mimi siku hizi nshazoea mara nyingi gari naacha nyumbani, huwa nikifikiria tu habar ya parking naona isiwe shidaTuanze kampeni ya acha gari nyumbani, tumia baiskeli.
Changamoto Ni kwa wale wanaotoka Kibaha wanafanya kazi Oysterbay