Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba huu mwili ulikuwa ni kwasababu ya menyu?Alikonda kwa diet
Nilishafunga siku tatu mfukulizo yaani nikikuwa kwenye maombi ya nguvu kwa masaa 72. Nilipoteza kilo lakini ubongo ulikuwa unanipa tahadhari ya njaa kila nikiona chakula.
Ni team ya madaktari na ma dietitians walimuwekea mfumo wa kufuata kuanzia chakula chenye low calorie, ilimchukua mwaka mmoja.Nakubaliana na diet na kufunga, lakini si kwa mwili huu.
Huu ni ugonjwa si wa kupona kwa kutokula.
Upungufu wa njunji unaweza kukusababishia unene kupitiliza. Njunji huondoa stress, stress ni chanzo Cha obesityMpaka akfikia utipwatipwa huo alkua hajion.