Kwa mara ya kwanza katika historia ya SMZ wamedhihirisha uwezo wao wakusimamia kile wanacho kiamini. sasa tusubiri nini kitafatia kutokana na kauli ya waziri Adam Malima kuhusiana na kuwepo kwa petrol bara na zanzibar ,jee SMZ itangia kichwa kichwa katika mtego huu ?
The government has said there is every sign that Tanzania will discover oil due to availability of sedimentary rocks in both the Mainland and Zanzibar.
SONARA
Haijakaa vizuri!
Ungeweka wazi hicho ambacho wazanzibari wanakiamini na kukisimamia..
U have put it as is it was a continuation of a story, or that all people in here are well informed of the issue!
Vinginevyo, waombe Mungu saana mafuta yasiwepo bara.
Yakipatikana kikweli, wameliwa.
NBara wana kila kitu Bwana hivyo ni vyao. Wa-zenj hawajadai gesi wala almasi wala uranium. Huo umeme wanaununua. Lakini mafuta yakitokea Bara basi ni yao. Tatizo liko wapi? Tutapalilia mikarafuu yetu.Ndivyo ilivyokusudiwa isikae vizuri.
Fumbo mfumbie ???Mwerevu hulifumbuwa!!,Mzanzibar atake bahatika kuisoma hii atafahamu (kuelewa)kwa hara sana nini kimekusudiwa ,hivyo ilivyoletwa (Tumwa) ndivyo haswa ilivyotakikana iwe.
NBara wana kila kitu Bwana hivyo ni vyao. Wa-zenj hawajadai gesi wala almasi wala uranium. Huo umeme wanaununua. Lakini mafuta yakitokea Bara basi ni yao. Tatizo liko wapi? Tutapalilia mikarafuu yetu.
Ya Bara ni ya Bara. Na ya Zenj ni ya Zenj. Na hii khabari ya kodi lazima tukusanye wenyewe kila kitu. Halafu semeni tuchangie nini katika Muungano wetu?Upo na hautakwisha mpaka kieleweke
Pakacha, ww na viongozi wenzako wa SMZ mnakuwa kama wanafiki hivi!Ya Bara ni ya Bara. Na ya Zenj ni ya Zenj. Na hii khabari ya kodi lazima tukusanye wenyewe kila kitu. Halafu semeni tuchangie nini katika Muungano wetu?
Na si busara kuwa na huo wa tatu unaotaka wewe. Kumbuka ratio yetu ni 36:1. Moja ndio kabisa tumemezwa -directly. sasa kama unaongea -kweli unataka Muungano basi ni huu wa mbili, lakini tuetekeleze kweli kwa nia moja. Kinyume chake ukisema tatu ni sawa na kusema hutaki Muungano. na moja unajuwa kuwa hatubali kumezwa asilan. This is only "food 4 thought 4 u"- Ndugu yangu.Pakacha, ww na viongozi wenzako wa SMZ mnakuwa kama wanafiki hivi!
Matatizo yote haya ya kodi na mengine yamesababishwa na system mbovu ya Muungano iliyoshindwa kuweka magawanyo wa maana wa majukumu ya kila upande, hatujuwi serikali ya Muungano mpaka wake ni upi yanapokuja masuala yasiyokuwa ya Muungano n.k Nakushangaeni bado mmeshikilia Muungano wa serikali mbili tu!!!
Nakubaliana nawe, katika mengi. Lakini hiyo tatu wewe umeiangalia kwa pua (yaani umetizama chini tu) siyo kwa macho(ukatazama mbele kwa upeo). Tatu ni federation. sasa katika kuchangia hiyo Jamhuri tutachangiaje? tutakuwa na formula gani? mambo ya pamoja yaPakacha,
Muungano wa serikali mbili hautekelezeki unalazimishwa tu.
Bado nasisitiza tatu is the best option.
Halafu kwanini unaendelea kuwa miongoni mwa kundi la wababaifu(ambalo hustahiki kuwemo wala halikuelekei) wanao amini kuwa Zanzibar kwa udogo wake na uchache wa watu wake haijiwezi yenyewe na siku zote itahitaji msaada tul. Kwanini hutaki kuamini kuwa nchi ile ilikuwa na neema kubwa wakati ikijitegemea kuliko wakati wa sasa katka Muungano?
Nimefurahi sana!! Kazi kwelikweliNakubaliana nawe, katika mengi. Lakini hiyo tatu wewe umeiangalia kwa pua (yaani umetizama chini tu) siyo kwa macho(ukatazama mbele kwa upeo). Tatu ni federation. sasa katika kuchangia hiyo Jamhuri tutachangiaje? tutakuwa na formula gani? mambo ya pamoja ya
majeshi na mapolisi-tutashirikiana kivipi ?(La mafuta tu tumelikataa tulipoelezwa huo mgao). Nakumbusha ratio yetu ni 36:1. Pakubwa hapo. unahitaji fomular ya kushirikiana itakayowaridhi (36) na halkadhalika ikawaridhi (1). sasa kama hii ya serikali mbili inatushinda nafikiri tuamue kuacha Muungano kuliko kwenda Tatu au moja (unajua fika hii ya moja haiwezekani asilan)