Maamuzi ya mahakama leo ni fundisho kwa watu wanaoshabikia bila kufikiri, ni fundisho kwa watu kama kina yericko nyerere kwamba ni busara kufikiri na sio kukurupuka tu.
Si nia yangu hata chembe kumtetea zitto, lakini pia nitakua mnafiki nikisema ninaelewa wanachojaribu kufanya viongozi wa chadema. tofauti na yericko na wenzake, nitakua mtu wa mwisho kushabikia vitu visivyoeleweka.
huwa nasikia watu huamua kukaa na risasi mwilini kwa sababu kwa eneo hiyo risasi ipo kama wakijaribu kuitoa itamaanisha hao watu kufa, kama tumeishi na zitto toka yuko 16 sijui ni busara ipi inatuambia tumng'oe leo, tena kwa style inayoua chama.
Na siku hizi kuna fallacy kwamba mtu hana akili hadi akubaliane na kila wanachosema viongozi na mashabiki wa CDM
FIKIRI!