juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Ni mawazo tuuhapa kwenye Grade 2
Grade 2- Bayern,United,Chelsea, Arsenal,Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Chelsea Nooooo, Hapa Ulitakiwa kuweka hivi
Bayern,United,Liverpool, Arsenal, Chelsea, Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Japo mm nipo kwenye hao wa "Now" ila hao kina Liverpool na man unitd na arsenal walikuwa wanawika sana kabla ya Chelsea ndo tukaja na sisi mancity. Japo Chelsea kawika kabla yetu ila awakuti hao watatu hapo juu, Nimeshawahi kuwa na jezi ya man u, arsenal na Liverpool ila sikuwa mshabiki wa mpira. Chelsea nilikuja kuisikia wakati wa drogba.
Hebu kamsahihishe basi.... mwalimu.Poor English!
Thanks mate!Poor English!
Tushawazoea hawa mkuu!Hebu kamsahihishe basi.... mwalimu.
naongelea uzito wa klabu kwa sasa!hapa kwenye Grade 2
Grade 2- Bayern,United,Chelsea, Arsenal,Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Chelsea Nooooo, Hapa Ulitakiwa kuweka hivi
Bayern,United,Liverpool, Arsenal, Chelsea, Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Japo mm nipo kwenye hao wa "Now" ila hao kina Liverpool na man unitd na arsenal walikuwa wanawika sana kabla ya Chelsea ndo tukaja na sisi mancity. Japo Chelsea kawika kabla yetu ila awakuti hao watatu hapo juu, Nimeshawahi kuwa na jezi ya man u, arsenal na Liverpool ila sikuwa mshabiki wa mpira. Chelsea nilikuja kuisikia wakati wa drogba.
Na Madrid je?!umekosea Barca n timu ya miaka ya elfu mbili (kwa kutamba) wenzake n kina man city na psg inakuwaje umeweke grade 1 ???
naongelea uzito wa klabu kwa sasa!
kwa mantiki yako basi PSG na city wasiwepo kabisa bcoz by 2011 they were SHIT!
Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!Sijakuelewa Mancity alikuwaje shit 2011. Unapoleta ushabiki wako jaribu hata kuwa balanced, maana alichkua kombe , tuache ushabiki tuelimishane. Uzi kama huu ufunguliwe na mtu ambae sio mshabiki wa aina yako utakuwa mzuri sana. uzi ni mzui ila wewe upo kwenye ushabiki wa timu yako na kuiona bora uliko ilivyo. sasa unasema mancity by 2011 alikuwa shit! wakati kwenye ukweli alikuwa vizuri sana, na kombe alichukua. check below
2010–11
1. Manchester United
2. Chelsea
3. Manchester City
4. Arsenal
2011–12
1. Manchester City
2. Manchester United
3. Arsenal
4. Chelsea
and I know city better than you think you do!Sijakuelewa Mancity alikuwaje shit 2011. Unapoleta ushabiki wako jaribu hata kuwa balanced, maana alichkua kombe , tuache ushabiki tuelimishane. Uzi kama huu ufunguliwe na mtu ambae sio mshabiki wa aina yako utakuwa mzuri sana. uzi ni mzui ila wewe upo kwenye ushabiki wa timu yako na kuiona bora uliko ilivyo. sasa unasema mancity by 2011 alikuwa shit! wakati kwenye ukweli alikuwa vizuri sana, na kombe alichukua. check below
2010–11
1. Manchester United
2. Chelsea
3. Manchester City
4. Arsenal
2011–12
1. Manchester City
2. Manchester United
3. Arsenal
4. Chelsea
Ndo maana nikakuambia weka ushabiki pembeni boss, huwezi kunielewa kama utaendelea kuwa na ushabiki na timu yako.Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!
Mnahitaji kufanya zaidi,Alafu nimeweka ivyo bcoz of What I think kutokana na experience yangu ktk soka,Sijaweka ushabiki halo as you say,rekebisha iyo kauli yako kwanza!!
Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!
Mnahitaji kufanya zaidi,Alafu nimeweka ivyo bcoz of What I think kutokana na experience yangu ktk soka,Sijaweka ushabiki halo as you say,rekebisha iyo kauli yako kwanza!!