FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapo! Wewe unajua nini maana ya mwanamke mzuri? Ngoja nikupe definition:
1. Mwanamke mzuri si lazima awe mrembo
2. Mwanamke mzuri ni msafi naturally, si usafi wa nje na ndani kuchafu.
3. Mwanamke mzuri ni yule umewahi kudhibitisha kuwa hanuki while u do that shit
4. mwanamke mzuri is civilized n she talks lowly.
Hiyo ni kwa ufupi. Finally mwanamke mzuri ni mke wako wa ndoa ambaye umekuta anatimiza the above mentioned criteria.
Upo kijana? kaaaa chonjo!!!!!!!
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.Mie binafsi naona muhindi murembo sana ana vimacho vizuri vinameremeta kama taa ..
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
wahindi ni bomba jamani. Angelina Jolie ni umaharufu lakini kwa uzuri hawazidi hao mabinti wa kidosi.
Ila wahindi wa bongo siwapendi.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
wahindi ni bomba jamani. Angelina Jolie ni umaharufu lakini kwa uzuri hawazidi hao mabinti wa kidosi.
Ila wahindi wa bongo siwapendi.