You enjoy the distance or you’re just coping?

Kwahiyo unataka ulale nyuma ya makalio daily tena makalio mnyumbuliko 🤣🤣 basi oaaa kijana
Tayari nina mke, tupo miko tofauti tu, ngoja nilisafirie, niende kulala nyuma ya matako walau mwezi hivi akili ikae sawa
 
Na hapa umepita kwenye uzi kwa hiari yako baadae utaenda kujilalamisha kua watu wanaongelea mapenzi tu hakuna kingine
Ngoja niangalie kwanza mach.
Sasa kazi ninayowapa ni muiombee mamelody anyanyue kwapa.
Mkiona kashinda farabat.. Siyo tu kulalamika, nitawachukia pia.
 
Tayari nina mke, tupo miko tofauti tu, ngoja nilisafirie, niende kulala nyuma ya matako walau mwezi hivi akili ikae sawa
Kijana wa hovyo unasafiri kufata makalio😅
Huna kamchepko huko😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…