You heard ya clouds!

siku hizi imepoteza mvuto... wasanii wanalipia kuhojiwa ili wapate promo.
 
Dully aliwah sema kuwa hawezi kuhojiwa na shoga so segment itakuwa ya kiliberali na wasikilizaji wa segment itakuwa wa mrengo huo.
 
napenda sana hyo segment...uwa soud brown ana vijimaneno vya kuchangamsha wengu
 
Toa wewe kwanza!!
siku hizi imepoteza mvuto... wasanii wanalipia kuhojiwa ili wapate promo.
Dully aliwah sema kuwa hawezi kuhojiwa na shoga so segment itakuwa ya kiliberali na wasikilizaji wa segment itakuwa wa mrengo huo.
hakuna segment inayoniboa kama hiyo.
Vipindi vya kipuuuuzi mie clouds nasikiliza njia pAnda na micheZo tu
Xxl ni majungu & fitna!!
kipindi cha kiNGESE tu
ts true, tang walipoanza kuiyona tu fursa ikapoteza mvuto, ikawa sehemu ya promo kwa wasanii
duh watu wanamoto na hiki kituo
 
kipindi kimetulia...! Nakipenda XXL yoote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…