You made me feel like a King!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Mungu Ibariki JF!

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru JF members milonipa ukaribisho wa kipekee na kunionyesha upendo wa kweli katika muda wote niliokuwapo nayi hapo Dar! Wengine wenu mlienda nje ya ratiba zenu kuhakikisha kuwa najisikia kweli niko among friends na cha zaidi ni lichojifunza kwenu ni ushirikiano wa kweli katika furaha na karaha! Hilo kwangu nalichukulia kama zawadi kubwa ambayo sina mfanowe!

MUNGU AWABARIKI SANA!

Ndugu zangu wachache niliombatana nao nikiwa huko hawakuamiani nilipowaambia ni kwa namna gani tumefahamina! najua nao watukuwa JF members soon!

Mbegu mliyoipanda kwangu nitaitunza kwa gharama zote na mlinifanya nilie moyoni kwa Furaha!

Nipende kuwashukuru wafuatao kwa ukunjufu wao!

Hommie Teamo
Hommie Fidel
Mkuu Maxence Mello
Mkuu De Novo
Kamanda Bigirita
Mkuu X-Pin
Hommie Next Level
Dada JS
Dada MwanajamiiOne


May the almighty God bless y'all!
 
Dah tupo pamoja kamanda...naamini umetua salama salmini.
 
Mkuu X-pin; Yule mbuzi atakuja kumaliziwa Dodoma!
 
hehehehe!huyu x-pin ana MASTAAZ OF SCIENCE IN MBUZI-PREPARATIONS,KISUSIO AND CYLINDER HEAD(M.Sc.MPKCH)

Specialised in ndafu processing!.....................:becky:
 
unapazungumziaje MARANGU NIGHT PARK mkuu maskini jeuri?
 
Karibu tena MJ wa ukweli
 
Karibu tena MJ wa ukweli


JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…