Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe..hawa jamaa noma aisee!
Wale wa St.Joseph ambao bado hawajapata hizi nakala chukua then.
:amen:
mkuu amani, mimi pia nimechaguliwa hapo kozi ya B.Comp.Science lakini jina langu halipo kwenye orodha yao,nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia watanitumia joining instruction lakini hadi sasa bado sijaipata,kama vipi naomba unitumie kwa email hii johntongo@live.com
with regards.