You need medical form from st.joseph university tanzania

amani91

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
41
Reaction score
6
Wale wa St.Joseph ambao bado hawajapata hizi nakala chukua then.
:amen:
 

Attachments

  • Medical Form.jpg
    213.2 KB · Views: 367
  • Undertaking Form.jpg
    257.9 KB · Views: 353
mkuu,na wanajamvi eti wanaripoti lini st joseph,pia naomba msaadatwa fee structure kwa college of management and commerce
 
Wale wa St.Joseph ambao bado hawajapata hizi nakala chukua then.
:amen:

mkuu amani, mimi pia nimechaguliwa hapo kozi ya B.Comp.Science lakini jina langu halipo kwenye orodha yao,nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia watanitumia joining instruction lakini hadi sasa bado sijaipata,kama vipi naomba unitumie kwa email hii johntongo@live.com
with regards.
 

jana umetumiwa joini saa 11:53 asubuhi,sema lingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…