Aviero 25
Member
- Jan 15, 2022
- 29
- 60
Greeting.[emoji110]
Especially for hustlers[emoji123], students, brothers and sisters and all fans..
Nafkir itachukuw muda kidg kutonekan[emoji26], ila naomba tushike hivi vitu 3 kisha tuingie in the action
Let's go...
1_Jijuwe wewe ni nani.. JITAMBUE VIZUR tu, tambua ulipotoka, ili usipoteze dira ya unapokwenda. Chunguz na kuzitambua strengths zako na weaknesses zako zote na kwa undani sana, tambua values zako, ifaham vision yako, juwa mipaka yako, juwa priorities zako, ifaham & kutengeneza future yako vizur zaidi ya jinsia yako, jijuwe wewe ni nani na unataka nin kwenye huu ulimwengu uliojaa watu zaidi ya 8 billion, juwa vizur ukweli wote wa maisha yako yote hapa duniani na baada ya kuondoka, jiulize siku ambayo unazikwa watu waseme vitu gani kuhus wewe, usifiwe na kukumbukwa kwa vitu gani?
2_ Wajuwe wanaadam ni nani.. Watu waliokuzunguka ni wengi mnooo, Lakin sio kila mtu ni rafiki yako, pia ni ngumu sana kutengeneza marafiki wazur maishani, utapata washkaji wa kupiga story, kula bata, kupanga mipango n.k, Lakin kupata true friendship ni ngumu zaidi ya kupata mke/mume, sas bora uwe own realiest friend, usitegemee mtu/watu katika maisha yako yote.
3_Tafuta utajiri, fanya ujinga wote ujanani, cheza michezo yote inayochezeka lkn hakikish unatengenez utajiri, Pesa ni kifaa chenye nguvu kuliko kifaa chochote unachokifaham ambacho mwanadam amefanikiwa kutengeneza. Kutengeneza utajiri ni Art kam art nyengin yaan kam kuimba, kuchora, kuplay football, so tumia ujana wako mwing kumaster hii sanaa ya kutajirika..
Money is the solution of everything in the world
...........
That's my advice tu, sio mbaya kukataa.
Good days[emoji112]