Mr kichwa wazi kama ni mpenda haki siasa/sii hasa Wala huwezi ifikiria, ila kama mpiga Dili, mwizi, fisadi, mwovu, usiyependa zingatia Sheria na taratibu, mwenye weledi wa kikwetu wa kitanzania utachagua sii hasa, na sii kujiajiri na kuwa na akili guru🤔.