You will never find my copy...


Asante my dear,
umesema ukweli, maana ninakoelekea ni kujilazimisha kumpenda... mtu akikukosea mara nyingi na habadiliki, upendo unaweza kuzimika taratibu na ukaishia kuwa unajilazimisha kumpenda... The first tym nilivomwambia kuwa I cant handle this anymore, I want to walk away, alinikumbusha mengi sana tuliyopitia, na kunihakikishia ananipenda, na tukaongea sana, nikamweleza kuwa hata mimi nampenda ila inabidi hivi vitu anavovichukulia kama mzaha aache, akaniambia sometimes he acts that weird because he loves me... yaani sasa hiyo kali mtu unampenda mpaka you act weird, thats really weird!!! He says he cannot do without me, he wont be able to survive... anataka tu muelewane mfurahi, mcheke...ila hataki ma-confrontations, wala hataki kuachana...sasa unamuelewaje mtu wa hivo....
 

Yani my wiselady, sijui niseme ipo siriaz, sijui niseme naichukulia siriaz, yani hata sijui nisemeje... mimi hata nikijisifia labda kama tunataniana na tunacheka..ila kwenye ugomvi, no, yea huwa tunaongea, ila ni kama mtoto, yani mpaka akubali kuwa confronted ni ishu... muongee mengine ila sio kumkosoa, na ukinyamaza ukawa sad, after some tym, he comes back telling you dont be sad, asking you why yo sad, ukimwambia yeye ndo hakati kukusikiliza, anasema kama ni hivo he will change, I shud be happy, na anajieleza vizuri na maturely na utakuta sometimes anaacha, ila sasa ndo abembelezwe, na hadi akipenda, sasa ndo maisha gani hayo?? au ndo inatakiwa hivo mi sielewi au? kuwa mwanaume hata akikosea inabidi umbembeleze akwambie why kafanya hivo, then akijisikia ndo akueleze....
 

Asante my dear kwa ushauri...unajua mimi naangalia tabia kwanza, then mambo mengine yanafata, so nilimkubali kulingana na tabia yake, na tulivoweza kuconnect, na he was really a nice guy, mpaka nikasema hebu ngoja nimpende huyu mtoto wa kiume, like he has never been loved b4... so nikaacha yale mambo ya moyo nusu umefunga nusu umefunguka, nikaufungua completely, sasa naona hii ndo inamfanya aone yeye he is best... mi sikatai yeye kujisifia, hata mimi napenda awe na high esteem, ajipende, but in a moment like this tukiwa na ugomvi, kwa nini mtu uanze kujisifia sifia... fikiria na mimi ningeanza kujisifia, tungefikia wapi... maana kuna wasichana wangapi hawajatulia?? Kuna wasichana wangapi utamkuta hajawahi kuwa na mtu, unampata, na anatulia, na anakubali wewe kumuoa, how many???? tell me... hapa na mimi nikianza kujisifia my dear hatutalala...

Hapo kwenye red, Huu ushindani hata bado sijauwaza... huwa naamini Mungu anapanga destinies za watu, he works out in a way, hata hatuhitaji kushindana, tunajikuta somewhere somewhere together.... labda am still naive about this...
 

leney nimependa unavyokuwa courageous,hapo kny red alippsema geophysics sioni mantiki yake kabisa,,inaonekana umekuwa fade up na huyo mpenzio na ukweli mtu wa kurudiarudia makosa with childish behaviour anachosha!leney ukiamua kufanya maamuzi maagumu usiangalie mama atakufikiriaje neither ur friends,naelewa hakuna mtu perfect lkn kuna vinavyovumilika,ukiona unakosa amani na relationship uliyopo chukua hatua,,watu wa mungu ni wengi utapata the love of ur choice,gud cheer
 

Amen my dear!!!!
kweli hili la kumwambia mama ni kama mlima...nashukuru kwa kunitia moyo...
Hapo kwenye the second red umeongea kitu cha msingi sana Wit, amani inakosekana my dear ukiwaza kuwa huyu mtu unayemwamngalia ataendelea kuwa hivi hivi hata kwenye ndoa, unajua hamna miujiza kwenye ndoa....sijaingia bado ila najua hamna mirackes huko, kua mtu overnight huko honeymoon anabadilika ghafla..haiwezekani...bora uingie umeshaamua kukubaliana na unachokiona... so hii inanikosesha amani... na nashukuru kwa ushauri wako mpendwa... ntachukua hatua...

Be blessed loads...
 

Talk to him....give him your reasons for walking away....wish him the best and move on with confidence. Ukishaanza kukosa amani na mtu kuna zaidi ya hapo,yawezekana yapo usiyoyajua....kusema you will never find my copy is a very strong statement....yawezekana yupo au wapo wanaomwambia hakuna kama yeye......he does not value you that much coz he thinks he deserve someone better than you....he is too good for you and he is just doing you a favour by bn with you......sikutaka kusema mengi mwanzoni but since you have open up....let him go,if he ever change,you can re think about him!!!!:smash::smash:
 
kitu kimoja kimenifurahisha, nilikuwa sijui kuwa Leney ni mwanamke/msichana...yet she has been here tangu 2007.....welcome back na pole kwa masaibu.

Ushauri wa babu Asprini, naunga mkono, tofauti yangu na yeye ni kwamba mimi huwa sio mkaguzi....
 

Thanks gal!!!! Yaani sitaki hata kuongea tena, maana umesema kilakitu.... Thanks dear
 
kitu kimoja kimenifurahisha, nilikuwa sijui kuwa Leney ni mwanamke/msichana...yet she has been here tangu 2007.....welcome back na pole kwa masaibu.

Ushauri wa babu Asprini, naunga mkono, tofauti yangu na yeye ni kwamba mimi huwa sio mkaguzi....

Haha..Jamani Kaizer sijawahi fikiria a man/boy can have the name Leney!!! Hiyo ya tangu 2007 nilifungua tu account my dear, sikuwahi kuitumia mpaka december 2010... But am so damn sure that Kaizer is a man and I follow him close hapa JF...

Hahah, eti wewe sio mkaguzi...LOL Babu akiona hapa ur a dead man!!! Itabidi nibadilishe niwe nakufuata kwa ushauri , coz I know I will be safe with you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…