LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Mkuu wewe ndo hujaelewa ni wachezaji wa Simba na Yanga wanaocheza ligi kuu na sio hao wazamani unaowasema wewe.Jaman we uliyeweka hi post ndo hujaelewa vizuri, si SIMBA na YANGA za sasa bali ni nyota wa zamani waliowahi kuzichezea hiz timu mbili haijalishi hatakama walikuwa wanakipiga nje au ndan and in addition hii timu (simba&yanga) itajulikana kama COMBAIN FC na itakuwa chini ya Abdalah king kibaden akisaidiana na Fred felix Minziro kwa udhamin wa PPF.
Mkuu wewe ndo hujaelewa ni wachezaji wa Simba na Yanga wanaocheza ligi kuu na sio hao wazamani unaowasema wewe.
simba mdebwedo watatufungisha!
Subiri siku ya mechi ndo utajua ukweli ni upi hamna haja ya kukupa source, kwa akili yako unatarajia Asante Kotoko watoke Ghana kuja Tanzania na wachezaji wao halafu wanakuja kucheza na wachezaji wa zamani ili iwe nini?sasa unafahamishwa ukweli unaukataa. lete na wewe source yako
Subiri siku ya mechi ndo utajua ukweli ni upi hamna haja ya kukupa source, kwa akili yako unatarajia Asante Kotoko watoke Ghana kuja Tanzania na wachezaji wao halafu wanakuja kucheza na wachezaji wa zamani ili iwe nini?
Mkuu mimi na wewe tunachosema ni kile kile labda tu hatuelewani, kwenye post yangu ya kwanza nimesema ni wachezaji wa ligi wa simba na yanga na sio hao wa zamani, jamaa ananiambia nilete source nami nimemwambia asubiri siku ya mechi ataona source uwanjani, ila kama atang'ang'ania nitamuwekea baadaye saa hivi natumia simu siwezi kuweka link.Kamanda wangu! Wewe ndiyo umepotea kbs, wachezaji gani wastaafu wa Yanga FC & Simba FC waliopo wa kuweza kucheza na mabigwa wa Ghana? Hata waza vema tu halafu tupe majibu Kamanda wangu!