Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watangazaji wetu bado ufanisi wao ni mdogo, hata ukisikiza wajkati wanatangaza maneno kama 'nadhani' huwa ni mengi sana, kitu ambacho ni mwiko kwenye uandishi wa habari.Watu wengi hasa watangazaji wa redio na TV wamezoea kuitaja timu ya YANGA kama Young Africa badala ya Young Africans. Ijulikane kuwa Africa ni bara na Africans ni waafrika. Wanapoitaja timu ya YANGA kama Young Africa wanapotosha maana.