Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya.
NB: Young African S.C na Simba S.C yote twasema lakini tunahitaji kombe la Club Bingwa na Shirikisho, hivyo vikosi vyenu viamarishwe na wachezaji wajue lengo hilo.
Mtindo wa kukosa magori kizembe na kupoteza nafasi kizembe hatutaki. Maana kwa ligi ya NBC nyinyi ni wababe, sasa muda umefika wa kuonyesha ubabe Africa.
Nawatakia kila jema timu zote zinazoshiriki kimataifa.