African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Wananchi niwatoe pressure Yanga anakwenda nusu fainal huu msimu, najua watu watapinga sababu ya mpinzani anayekutana naye ila muda utaongea vizuri.
Kwa sasa ni vigumu kuwaambia kwamba yanga atafuzu nusu fainal na kueleweka, lakini hii vita ni kama ya Daudi na Goliath
Uzi wangu wa nyuma nilisema kuna uwezekano mkubwa wa timu zilizokua kundi moja na yanga kutinga fainal, sasa naweza kusema tena kwa kujiamini kuna uwezekano mkubwa fainal ikawq kati ya Yanga na mafarao wa misiri.
Ngoja tusubiri ni muda ndio utaamua.