Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0.

⚽️' 34, F Mayele
⚽️' 39, S Ntibazonkiza
⚽️' 44' D Ambundo.

Yanga first eleven
Diarra
Job
Bangala
Farid
kibwana
Sureboy
Aucho
Saido
Moloko
Ambundo
Mayele
sub:Fei,Ushindi,Makambo,Mauya,Mwamnyeto
 
Hii mechi haikuwa na sababu ya kuanzisha washambuliaji wa pembeni ka hiyu Moloko na Ambundo, dhidi ya timu inayopaki basi kama hii.

Tulitakiwa kuwachezesha Makambo na Ngushi pembeni, ili mabekibwa pembeni wapige krosi halafu watu wapige vichwa. Kuna kila dalili ya kujirudia yale ya mechi dhidi ya Prisons. Nao walifanya hivi hivi mwanzo mwisho. Sare kwao ni ushindi.
Ambundo angeanza lakini kocha ana kazi kuwaeleza Wanayanga anachompendea Moloko.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom