Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
TuwaiteWananchi wameisusa timu yao haya hapa JF kimyaaaa
TayariNyie Yanga fungeni nimewekeza mjue
Ambundo angeanza lakini kocha ana kazi kuwaeleza Wanayanga anachompendea Moloko.Hii mechi haikuwa na sababu ya kuanzisha washambuliaji wa pembeni ka hiyu Moloko na Ambundo, dhidi ya timu inayopaki basi kama hii.
Tulitakiwa kuwachezesha Makambo na Ngushi pembeni, ili mabekibwa pembeni wapige krosi halafu watu wapige vichwa. Kuna kila dalili ya kujirudia yale ya mechi dhidi ya Prisons. Nao walifanya hivi hivi mwanzo mwisho. Sare kwao ni ushindi.
Mayeleeeeee!!!