Young Africans halafu kiswahili inaitwa Yanga Afrika

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?

Kwanza maana ya Yanga ni nini?

Tuendelee kula mihogo
 
Hawajui walitendalo
 
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika??
Kwanza maana ya Yanga ni nini?

Tuendelee kula mihogo
Mbona hushangai kariakoo na majina mengine.
Ila wana Simba mnahangaika na Yanga kuliko wanaYanga wenyewe
 
We unajua maana ya YANGA???
Ni jina tu kama ilivyo Uber, Yango, adidas, Nike na kadhalika maana muda mwingne brand names unakuta hazina maana kwenye lugha husika.
Kwa sababu Young africans ingekuwa changamoto kwa wa swahili basi ikawa yanga afrika
 
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?

Kwanza maana ya Yanga ni nini?

Tuendelee kula mihogo
Hauwezi kubadilisha hiyo avatar?
 
Ni jina tu kama ilivyo Uber, Yango, adidas, Nike na kadhalika maana muda mwingne brand names unakuta hazina maana kwenye lugha husika.
Kwa sababu Young africans ingekuwa changamoto kwa wa swahili basi ikawa yanga afrika
Kwaio Wala mihogo mliamua kubadilisha Young Africans ndio mkaona mjiite YANGA AFRIKA???
 
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?

Kwanza maana ya Yanga ni nini?

Tuendelee kula mihogo
Washabiki wake ndio walipelekea iitwe hivyo maana elimu ilikuwa ni mtihani so matamshi yakawa yanawasumbua

SIMBA SC iliwahi kuitwa Sunderland na bado washabiki wa SIMBA SC wakaweza kuitamka vizuri kabsa haswa neno Sports club

Sasa wale waliopo bondeni kama unavyojua tena.
 
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?

Kwanza maana ya Yanga ni nini?

Tuendelee kula mihogo
Wewe mapengo Yanga ni Kiswahili?
 
Hata pale kawe ,ilikuwa mtaa uliokuwa unatumika kupitisha ng'ombe kwenda kwenye kile kiwanda Cha kusindika nyama ,lakin watu wakageuz ule mtaa kutoka "cow way " mpaka "kawe"

Kwa hiyo ni upungufu tu wa elimu
 
Kwaio kumbe sisi Wala mihogo Toka zamani za kale tulikuwa na ilo tatizo la upungufu wa elimu
 
Kombe la Shirikisho? "Hilo ni kombe la Luzaaaaaaa, Hilo ni kombe la Luzaaaaaa" (in Manara Voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…