Young Africans halafu kiswahili inaitwa Yanga Afrika

Hii ni elimu ya Form two kabisa inampiga chenga mtu mzima.
 
Watu walikua hawawez kutamka vzr lkn hata muanzilish pia alikua hawez kutamka younger
 
Je maana ya shukran ni Nini?
Je maana ya Marhaba ni Nini?
Je maana ya yaan ni Nini?
Ebu tu jibu hapo ndio utajua maana ya Yanga
 
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika?

Kwanza maana ya Yanga ni nini?


Tuendelee kula mihogo
Kwani unateseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…