holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wasaalam ndugu zangu Watanzania,
nabubujikwa na machoji ya furaha kuona Taifa la Tanzania likiwakilishwa na timu mbili kimataifa ktk mashndano ngazi ya vilabu yaani CAF CHAMPIONS LEAGUE na CAF CONFEDERATION CUP, ambapo hapo kesho Yanga atapeperusha bendera ya Taifa kusaka ushindi wa kwanza baada ya kufungwa nyumbani mbili sufuri na al hilal ya sudan ktk mashndano ya CAFCL huku simba kesho kutwa nae akisaka ushindi wa pili baada ya kuichakaza fc bravos nyumbani moja sifuri Katika mashndano ya CAFCC. Simba na Yanga wapo wote nchini Algeria kuliwakilisha taifa. Nipende kutoa rai kwa Watanzania wote bila kujali mapenzi ya timu,ukanda,rangi,kabila,kipato au chochote kile kuziombee timu zetu hizi ushindi. uzalendo kwanza.