Young Africans SC yakodishwa rasmi kwa Yusuf Manji

Upo sawa... maana yake ni kwamba kwa huyo mmoja mkudishaji ndo atalipa, lakini hao wengine wanaodaiwa watalipwa na Yanga Club. Maana klabu bado ipo na mapato mengine.

sijui umenielewa hapo???
Ndivyo hivyo, ukiangalia sana utakuta hakuna aliyefanya uhakiki wa hilo deni. Ni yeye mwenyewe ndiye aliye hakiki na kutoa taarifa!
 
We unajua naingia game ngapi za Yanga pale Taifa? Au hujui kitendo cha kwenda uwanjani na kulipa kiingilio naichangia timu?

Proposal yangu ni kwamba Yanga iachane na huu mkataba.
Nyie si ndo wale wa upande wa pili unaingia kwa ajiri ya kuzomea ni bora ungekaha nyumban tu
 
"7. Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya YANGA haitamaliza chini ya nafasi nusu mwisho wa msimu wa ligi ya Tanzania Premium League wakati ikiwa ndani ya kipindi cha Mkataba."

Hapa sijaelewa kitu.
 
Haitamaliza chini ya nafasi ya pili. Kosa la kimaandishi Salome
"7. Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya YANGA haitamaliza chini ya nafasi nusu mwisho wa msimu wa ligi ya Tanzania Premium League wakati ikiwa ndani ya kipindi cha Mkataba."

Hapa sijaelewa kitu.
 
Alternatively ulitaka yanga ifanyaje?
 
yanga raha tupu aisee
tupeni raha zaidi
 
Kwa mkataba huo yanga wameumia,eti wanapewa million mia kwa mwaka kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wao,sasa mkondishwaji kaikodisha yanga ili uwe nini!?eti mkodishaji atafanya maendeleo sehemu atakayoona inafaha,kwahiyo ataakiamua kufanya maendeleo ya yanga kwa huko Calcutta ni sawa tu hakuna
 
Kuna vipengele kibao kwenye huo mkataba ni utata mtupu, ibet kabla ya miaka miwili wanachama wa yanga wanoshangilia Leo ndo watakua wa kwanza kulalamika vipengele vingi vinavyombna mkodishwaji ni mandatory lakini vya yanga ni must
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…