Young Africans SC yashika mkia ligi kuu

Sio ajabu maana misimu yote mitatu ya nyuma ndio nafasi anayoshika mwezi wa nane ila ikifika mwezi wa tano ndiye kinara wa ligi huyo.
 
watu wa chadema bwana..

#ponda mali kufa kwaja
 
Yaani hapo mpaka ije itokee timu inayoanza na Z ndiyo itapanda nafasi moja juu, sasa ni leo hiyo? Waache washuke daraja tu hakuna namna.

Hii timu ili iwe ya kisasa inabidi ibadili kila kitu chake. Jina, rangi, nembo, kauli mbiu na wapate mashabiki wapya. Hersi kazi anayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…