Tayari mmeshaanza kumshindisha kwa mihogo mtoto wa watu mtani [emoji2369][emoji2369]
Hawa watu jezi za mechi hizo hizo za mazoezi hizohizo[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119]
Huyu akiwa mzuri tutamchukua mwakani[emoji196][emoji2089][emoji2089]kama timu kubwa kama hizo zinamuwania wewe ni nani umdharau mchezaji kama huyu!View attachment 1534303
Kuna chakula au ndo kila mtu ajitegemee?
Ni mahakama ya michezo ya rufaa.. huwez kwenda huko mpaka shauri lako liwe limeshindikana FIFA au haujaridhika na maamuzi ya FIFA.. nyinyi naona mnataka ruka hatuaKwani CAS ni wapi Mtani?
Nipe mfano wa team iliyowahi kushushwa daraja kwa kosa la kimkataba, soma kanuni acha kupotoshwaKimsingi watashushwa daraja na kuwadiscredit sana tff
[emoji3][emoji3]DahHii ndio timu ya wananchi.
#YangaNguvuMoja
Hapo ishu ni rushwa, mulitoa rushwa TFF ili Morrison acheze ligi wakati kiuhalisia hakuwa na sifa hiyo, mulichelewa kumsajili[emoji23][emoji23][emoji23]Nipe mfano wa team iliyowahi kushushwa daraja kwa kosa la kimkataba, soma kanuni acha kupotoshwa
Mwanangu Bwalya keshachukuliwa Simba! Sijui kama utopolo tuko serious! Tunaishiaga kuyaonesha Mikia wachezaji wazuri yanachukua! Hivi hatuwezi kufanya kimya kimya kama tunafukuza mwizi wa kuua?Mkuu huyu bwalya, Rutanga na Kotei umewatoa wapi?
Chama
Mnadanganywa kama watoto na mnakubali, nawaambia daily hapa, muwe makini na hao jamaa zenuWameingizwa chakaaaaView attachment 1538332
Hiyo ni typing error alikuwa anamaanisha 'Ligi ya mambwa'