Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni typing error alikuwa anamaanisha 'Ligi ya mambwa'
Fei to to si mbaya pia ,ataongeza kitu ktk timuNimeona mashabiki wa simba na yanga wakimsifu sana Larry Bwalya, kiufupi mimi nlikuwa Zambia na nliangalia games karibia 5 za Dynamo, huyu mchezaji style yake ya uchezaji haina tofauti na Fei ToTo hata viwango hawatofautian sana.
Mkuu tushike lipi, hapa chini uliyasema haya..Nimeona mashabiki wa simba na yanga wakimsifu sana Larry Bwalya, kiufupi mimi nlikuwa Zambia na nliangalia games karibia 5 za Dynamo, huyu mchezaji style yake ya uchezaji haina tofauti na Fei ToTo hata viwango hawatofautian sana.
Larry Bwalya fundi hata chama haoni ndan.
Hehehehe kwahiyo Fei toto ni fundi kuliko Chama. Maana mdau hapo jana tu kabla ya signature ya huyo Mzambia alipata kuyasema haya..Fei to to si mbaya pia ,ataongeza kitu ktk timu
Larry Bwalya fundi hata chama haoni ndan.
Hahahaha labda maoni yakeHehehehe kwahiyo Fei toto ni fundi kuliko Chama. Maana mdau hapo jana tu kabla ya signature ya huyo Mzambia alipata kuyasema haya..
hahaha hao wanabweka bweka na kupiga makelele kama kingkongMkuu tushike lipi, hapa chini uliyasema haya..
Walikuwa wanajamba jamba tuGSM walisema watasajili top scorer kutoka top 5 league Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninasubiri hapa, [emoji2089]
Duhhh! Umemdaka huyoMkuu tushike lipi, hapa chini uliyasema haya..
Ukiwa unavuta bangiiii uwe unatumia na asali utakuja kunishukuruNyie Utopolo kama mnavyojua Simba sc ndio Bayern Munichen ya hapa Tanzania, hivyo nitoe rai kwenu kuwa tunataka kufanya kile kilichomkuta Barcelona hivyo mjiandae kisaikolojia.
Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Shadeeya
We Mkuu kuja mengine utayajua huku huku.Kuna chakula au ndo kila mtu ajitegemee?
Mtani mbn sioni mkisajiri au mnasikilizia kwanzaHahahaaa. Nimecheka Lol.
#amubaki
Mikia wengi hawajalijua hili wao mawazo yao yako kwenye kufoji tu.Kutokana na maelezo ya kamati wanadai mkataba haujafojiwa ila una mapungufu.. Hayo mapungufu yametokana tu utamaduni wa klabu nyingi tu kusajili kienyeji enyeji bila kuangalia mbeleni kua kuna mambo kama haya yanaweza kutokea huko mbele.
Na tatizo kubwa Yanga na GSM hakuna connection nzuri hapa katikati, wanafanya vitu bila kuzingatia protocol,, kifupi vitu vingi havipo professional kwenye timu yetu.