Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mnadanganywa kama watoto na mnakubali, nawaambia daily hapa, muwe makini na hao jamaa zenu

Ukianza hizo picha, tokea jana watu wenu wako. Zambia, Nugaz alienda airport kupokea mchezaj
...na hata baaada ya kufeli akajibu mshabiki wa Yanga kama unavyoona hapo chini, ni masa Zaid ya matatu sasa yamekatika huyo mtu hajatua,

Safari hii mmepata viongoz, wanawachezea wanavyotaka View attachment 1538343View attachment 1538344View attachment 1538345View attachment 1538346
Inamana Zambia nzima mchezaji ni Bwalya? Au ndio unawalisha viongozi wetu maneno?
 
Mtani ni wiki sasa hujapost kitu humu, natumaini kwamba unaendelea vizuri.

Hizi taarifa za Simba kumtangaza mchezaji mliyemfata Zambia nadhani utakuwa nazo, vipi unasemaje kuhusu hili?
Hahahaaa. Mie Alhamdulillah Mtani.

Ninazo ila nirudie tu ile kauli ya Bumbuli kwamba nyie mnasajili kwa tetesi mnazozisikia mitandaoni na magazetini kuhusu Yanga na kiukweli hatukuwa tukimuhitaji huyo Bwalya. Teh teh
 
Nyie Utopolo kama mnavyojua Simba sc ndio Bayern Munichen ya hapa Tanzania, hivyo nitoe rai kwenu kuwa tunataka kufanya kile kilichomkuta Barcelona hivyo mjiandae kisaikolojia.

Simba nguvu moja
Simba bingwa CCL 2020/2021
Shadeeya
Hahahaaa. Baada ya kupigwa goli nane naona mnajikataa. Lol

"Sisi simba ni level za Barcelona" (in Ropo ropo Voice) Teh
 
Hahahaaa. Mie Alhamdulillah Mtani.

Ninazo ila nirudie tu ile kauli ya Bumbuli kwamba nyie mnasajili kwa tetesi mnazozisikia mitandaoni na magazetini kuhusu Yanga na kiukweli hatukuwa tukimuhitaji huyo Bwalya. Teh teh

Afadhali umerudi utupe update za kesi ya Morrison huko FIFA.

Bwalya tumeshamalizana naye.
 
Utazipata Mtani japo kwa sasa anga limetulia hivyo mjiandae mana tunaanza kuwashusha mmoja mmoja. lol

Hongereni kwa kukusanya Mtani.

Nimekuelewa hapo kwa Bwalya.

Hongereni kwa usajili mwingine, nimesikia mmemsajili aliyekuwa dreva wa Senzo.
 
Hahahaaa. Kwa sasa kejeli zenu zote tunazipokea Mtani.

Mtani hiyo taarifa nimesikia ni kweli, Senzo alihitaji aje na watu wake. Na huyo dreva ndiye mtu wake muhimu imebidi mmchukue.

Tunasubiri kuyaona majina mnayosajili mtani, sisi tunaendeleza kufanya yetu.
 
20200817_074851.jpg
😅😅😅​
#Ukiwamuongouwenakumbukumbu.​
 
Back
Top Bottom