Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi kimeanza safari ya kuelekea Mwanza kwenye mchezo wetu wa Jumapili dhidi ya KMC FC.

Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Kanda ya Ziwa tuna jambo letu, tujitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu yetu.💚💪🏽

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi

@YangaSc.
20201024_060633.jpg
 
Back
Top Bottom