Nataka hizi jezi, nitazipata wapi?
Nadhani ukienda kwenye maduka ya GSM huko ndo unaeza kupata kama zipo japo niliwahi sikia wakisema jezi kama hizo huwa ni special kwa wachezaji pekee sie zetu ni zile jezi za uwanjani yaani ya nyumbani na ugeniniNataka hizi jezi, nitazipata wapi?
Haswaaaa!Hakika mana wanaeza kaza hao.
Wakae wakijua sisi wala hatuhitaji bao nyingi. Sisi kikubwa points tatu tu.
Kuna watu hata haya mapokezi tu wananuna balaa!Na siku zote timu ya Wananchi huwa haina jambo dogo. [emoji23][emoji23]. Hivi ndo mashabiki walivyoipokea timu yao.View attachment 1610432
Mungu atie mkono wake zaidi lifanikiwe hiliKamati yetu ya Ujenzi na Miundombinu leo imekabidhi michoro na ramani kwa Uongozi tayari kutangazwa kwa Tenda ya Ujenzi wa Hosteli na Uwanja wa mazoezi wa klabu eneo la Kigamboni.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuyaWananchi.
@YangaSc.
View attachment 1610632
Ndugu Vipi tena kulikoni na picha za hivi!?Amenihakikishia tarh 28/atapiga kuraView attachment 1610620