Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #13,981
OK, Mimi nimeshazoea t-shirt zenye kolaNadhani ukienda kwenye maduka ya GSM huko ndo unaeza kupata kama zipo japo niliwahi sikia wakisema jezi kama hizo huwa ni special kwa wachezaji pekee sie zetu ni zile jezi za uwanjani yaani ya nyumbani na ugenini
Hahahaaa.Kuna watu hata haya mapokezi tu wananuna balaa!
Hakika na ndilo tuombalo kwani tunataka Uwanja kweli sio mfano wa Uwanja.Mungu atie mkono wake zaidi lifanikiwe hili
Mi mwenyewe nilishangaa kama wewe. 🤔🤔Ndugu Vipi tena kulikoni na picha za hivi!?
Huo umri kama ni wake basi kunatatizo sehemu!Mi mwenyewe nilishangaa kama wewe. [emoji848][emoji848]
Na huyo ni mikia kwa nini hajaenda kuzitupia kwenye uzi wao. Teh.
Au ndo tuseme zimepotea njia. [emoji23][emoji23]
InshaAllah.Yanga ushindi sheria..
Kila la kheri wananchi..
Kariakoo will be always[emoji172][emoji169]