Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nimeona mashabiki wa simba na yanga wakimsifu sana Larry Bwalya, kiufupi mimi nlikuwa Zambia na nliangalia games karibia 5 za Dynamo, huyu mchezaji style yake ya uchezaji haina tofauti na Fei ToTo hata viwango hawatofautian sana.
 
Fei to to si mbaya pia ,ataongeza kitu ktk timu
 
Nimeona mashabiki wa simba na yanga wakimsifu sana Larry Bwalya, kiufupi mimi nlikuwa Zambia na nliangalia games karibia 5 za Dynamo, huyu mchezaji style yake ya uchezaji haina tofauti na Fei ToTo hata viwango hawatofautian sana.
Mkuu tushike lipi, hapa chini uliyasema haya..
Larry Bwalya fundi hata chama haoni ndan.
 
GSM walisema watasajili top scorer kutoka top 5 league Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ninasubiri hapa, [emoji2089]
 
Kutokana na maelezo ya kamati wanadai mkataba haujafojiwa ila una mapungufu.. Hayo mapungufu yametokana tu utamaduni wa klabu nyingi tu kusajili kienyeji enyeji bila kuangalia mbeleni kua kuna mambo kama haya yanaweza kutokea huko mbele.
Na tatizo kubwa Yanga na GSM hakuna connection nzuri hapa katikati, wanafanya vitu bila kuzingatia protocol,, kifupi vitu vingi havipo professional kwenye timu yetu.
Mikia wengi hawajalijua hili wao mawazo yao yako kwenye kufoji tu.

Jamani eee mkataba no halali.ila una mapungufu tu.
 
Back
Top Bottom