Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Na siku zote timu ya Wananchi huwa haina jambo dogo. 😂😂. Hivi ndo mashabiki walivyoipokea timu yao.
20201024_115030.jpg
 
Kamati yetu ya Ujenzi na Miundombinu leo imekabidhi michoro na ramani kwa Uongozi tayari kutangazwa kwa Tenda ya Ujenzi wa Hosteli na Uwanja wa mazoezi wa klabu eneo la Kigamboni.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuyaWananchi.

@YangaSc.
20201024_162544.jpg
 
Back
Top Bottom