Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kamati yetu ya Ujenzi na Miundombinu ya Young Africans sports club leo imekabidhi michoro na ramani kwa Uongozi tayari kutangazwa kwa Tenda ya Ujenzi wa Hosteli na Uwanja wa mazoezi wa klabu eneo la Kigamboni.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi https://t.co/YvVrYbj9Kw
0C05F388-FC8E-456D-8624-C49D28702D9B.jpeg
 
Nadhani ukienda kwenye maduka ya GSM huko ndo unaeza kupata kama zipo japo niliwahi sikia wakisema jezi kama hizo huwa ni special kwa wachezaji pekee sie zetu ni zile jezi za uwanjani yaani ya nyumbani na ugenini
OK, Mimi nimeshazoea t-shirt zenye kola

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Vipi tena kulikoni na picha za hivi!?
Mi mwenyewe nilishangaa kama wewe. 🤔🤔

Na huyo ni mikia kwa nini hajaenda kuzitupia kwenye uzi wao. Teh.

Au ndo tuseme zimepotea njia. 😂😂
 
Back
Top Bottom