mkuu Msuva hastahiri kutoka,maana inaonesha wanamuogopa sana thats why wamenkamia.
by the way hayo ni mawazo yangu,msije mkanizodoa mie mkia bhana!!!
Dk 80
Platinum 1 - 0 Yanga
Mikia mnachekesha sana...Wazimbabwe wanashangaa hapa.. hii ndio timu iliyotufunga 5?? Mbona kupiga hata 4 complete passes hawawezi
Wazimbabwe wanashangaa hapa.. hii ndio timu iliyotufunga 5?? Mbona kupiga hata 4 complete passes hawawezi
Wao wameifunga goli ngapi Yanga hapo kwao?
Refaaaa...
Wazimbabwe wanashangaa hapa.. hii ndio timu iliyotufunga 5?? Mbona kupiga hata 4 complete passes hawawezi
Dk 85
Platinum 1 - 0 Yanga