Young D ni maskini sana kwa sababu hizi

Kama wana gharamiwa kila kitu hiyo laki wameshindwa kuwekeza kweli
 
Muziki bongo kiukweli haulipi jiulize wewe mwenyewe umenunua kazi ya msanii link Mara ya mwisho!!?....kwa hiyo wanategemea show sasa anapata show ngapi kwa mwezi!?.....fiesta yenyewe wakipata watu 10000 ndo wanapata million 10 sasa kwa lundo LA wasanii unadhani watawagawia sh ngapi!?...na hapo kiingilio kiwe 10000!
 
Milioni 100
 
We kaache na ujnga wake ukikaambia ukweli utaskia ooh "bongo bahati mbaya"
 
Unamjua young dee au unamuota tuulize cc
 
Huyo Dogo janja angerud shule tu , maana akili ya kufanya mziki biashara Hana , atasihia kutumiwa mpaka azeeke, bora alivyokua kwa Max kidogo angefika mbali , maana jamaa anajielewa na ni msomi, sasa Dogo janja kamuona max mshamba wakat yeye ndo mshamba, anabak ku show off tu instagram wakat maisha hana
 

Umeongea point muhimu sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…