Young D amekuja tena. Track yake ya "Hands Up" imetambulishwa jana mwisho wa mwezi (30 June).
Mistari yake ipo kawaida kwa mtazamo wangu, huwezi fananisha na track kama Kijukuu.
Ila kwakua kasema kaacha ngada, nadhani akiendelea atarudi kwenye pick maana ana fans wengi sana hajui Tu.
Mbona hakuwa amepotea, hivi Ujanja Ujanja si ya juzi tu? Anyway, mi ni shabiki wake wa sikunyingi though sijali kama ameacha hayo mapouda ama la, akiendelea kutumia na afe kabisa