Young Dee avamiwa na majambazi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Pole baba tamari,inabidi urudi kwa maxi uombe msamaha akununulie I phone nyingine, ila nina mashaka kweli kma ulikua studio huo usiku wa manane, kama kweli nakupa pole maana unajisumbua bure hip hop huiwez mwachie tu dongo janja we endelea kuuza sura 'IG
 
Hilo laana la mama tamari na tamari pole yake kijana
 
Huyu kaka anamatatizo mpaka namuonea huruma.
Hivi ngada aliacha kutumia kabisa?
 
Ona alivong"edia hapo
Kama shoga kiaz huyu
 
Sasa hivyo vitambulisho, kadi za benk na simu aliacha nyumbani au alivamiwa huko huko studio? Mh, ngumu kumeza. Isije ikawa kajiibia mwenyewe anatafuta watu lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…