Young Dee avamiwa na majambazi

Nshangaa huyu jamaa wa kitambo toka niko primary miaka 20 iliyopita

Dame yupo ila sasa hana mwili km zamani anatembea na panga kiunoni hawa mabishoo pale studio wanakaaga nje na simu zao atakuwa kawatimbia kawapora
 
Kwani istagram ndio kituo cha polisi
acha ushoga weweee...mbona taarifa ipo clear kawaomba rai kuwa ambae atakuwa na taarifa zozote pia amsaidie kumjuza...inamaana hata kama kareport polisi kwani wao miungu wanajua mhusika alipo bila pia kupata taarifa kwa raia wema.acheni chuki kwaajili ya njaaa na umasikini wenu binafsi pimbi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…