Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Ivi ni uhandishi au uandishi? tuanzie hapo kwanza.
Tatizo lako wewe ni mwanaume alafu unataka kushindana na wanawake! Hata Amba lulu wataka kushindana nae si kujipotezea muda huko
 
Unajikataa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mwema wanaume wa Dar wanajiita ma Handsome alafu wanajikataa
Kwaiyo mimi kujiita handisamu ni kielelezo tosha kabisa kama mimi ni mwanaume kwa akili zako zinavyokutuma? Je, kama mimi ni mwanamke alafu huku jf na_act kama wakiume ?
 
Kwaiyo mimi kujiita handisamu ni kielelezo tosha kabisa kama mimi ni mwanaume kwa akili zako zinavyokutuma? Je, kama mimi ni mwanamke alafu huku jf na_act kama wakiume ?
Utakua Dume jike maana si hali ya kawaida [emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…