Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
yaah!she is beautiful!Chogo ni maumbile!halimzuii kuthubutu
Nitafutie Afrika mashariki na kati angalau anaeendana na swagga za Amber rose kama si amber lulu. Bado anahitaji sapot ya kutosha kutoka kwa watanzania, mikataba na makampuni atafika mbali sana. Tanzania tupo nyuma kuwawezesha watu km hawa wanaoonyesha nia na malengo lkn tupo mstari wa mbele kuwarudisha nyuma wote wanaotaka kuthubutu.
Like u[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]yaah!she is beautiful!
Sana tu!Like u[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Amber lulu ni upcomming superstar na kwa East Africa hii atapata fans wengi sana kwa swaggz zake kama za Amber rose, yupo open na anajiamini.
Akipatika mikataba na support ya kutosha atakuwa anamfukuzia Huddah Menroe. Kampuni kubwa yoyote itakayoingia mkataba na Amber lulu itajivunia umaarufu mkubwa na business
Ana kila dalili za kuwa superstar. Sema support kwa wadhamini na watanzania ni ndogo sana na kutamani apotee tu nyota yake izimike.Sana tu!
Wanamnanga chogo..mbona zuritu chogo lakee..
Tena ukitaka kujua bnt mzuri muangalie anaponyoa!
the girl is cute bwanaa!!
Wabongo kuna watu wao wanawakubaliAna kila dalili za kuwa superstar. Sema support kwa wadhamini na watanzania ni ndogo sana na kutamani apotee tu nyota yake izimike.
*swaggz za Amber rose
*kujiamini
*kuthubutu
*interview zake zipo safi sana majibu yake yupo open lakini hana matusi japo wanaomfanyia interview kwenye Tv wanamchukulia simple sana na watanzania wanamchukulia ni cheap.
Chogo ni maumbile tu na bado anapendeza, mtu mzuri ni yule anaechukua maumbile yake kama changamoto na akaendelea kusonga mbele na safari
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Wabongo kuna watu wao wanawakubali
Na hao watu wenyewe washazeeka hawana lolote!!
Wanawabania wenzao pia wasifike!
Ila ka amber kazuri mie nimemuona Jana nimempenda tu!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] nimependa unavyomsapoti kwa kweli!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Aongeze juhudi zaidi na yeye brand ya jina lake liwe juu zaidi na apunguze skendo ila aongeze kick.
Hata wasanii wa mziki wanaoenda kushoot video South Africa wajitahidi kumchukua na Amber lulu japo awepo video queen hata kama sio main character kwenye scene moja tu inatosha.
*chegge
*Bill nas
*Ali kiba
*WCB
*Ommy dimpoz
*Joh makini
*Vanessa
*Navy kenzo
*Shetta, Ney etc
Itapelekea kukomaa na kufanya vizuri zaidi na kuanza kutambulika kidogo kidogo kuvuka mipaka ya Tz
Thank u[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] though nipo positive kwa wasanii na masuperstaa wote wa Tanzania[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] nimependa unavyomsapoti kwa kweli!!!
wengine humu tuna kazi ya kuponda tu!
mwanzo mwisho!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thank u[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] though nipo positive kwa wasanii na masuperstaa wote wa Tanzania
Hata wewe ungekuwa japo mwanamitindo ningekuwa shabiki wako namba 1
Daaah!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] nimependa unavyomsapoti kwa kweli!!!
wengine humu tuna kazi ya kuponda tu!
mwanzo mwisho!
Tuseme ukweli tu..Acha dhambi
Mungu anakuona